May 27, 2021

 


HIZI hapa zilizotinga hatua ya nusu fainali Kombe la Azam Sports Federation Cup


Biashara United, ulishinda mabao 2-0 dhidi ya Namungo FC,  Uwanja wa Karume, Mara.


Yanga, ulishinda mabao 2-0 dhidi ya Mwadui FC, Uwanja wa Kambarage, Shinyanga. 


Azam FC ikishinda mabao 3-1 dhidi ya Rhino Rangers,  Uwanja wa Kambarage, Shinyanga. 


Simba, ilishinda mabao 3-0 dhidi ya Dodoma Jiji, Uwaja wa Mkapa.


Ngoma itachezwa namna hii


Azam FC v Simba, Songea, Uwanja wa Majimaji. 


Yanga v Biashara United,  Tabora, Uwanja wa Ali Hassan.

2 COMMENTS:

  1. Nusu fainali ni Lini? Au naa nyie pia hamjui... Jitahidini kutafuta habari la sivyo mnakuwa hamna tofauti na wasomaji au wanaweza kuwazidi kbs

    ReplyDelete
  2. Waandishi wa bongo lazima mtuachie maswali wasomaji.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic