May 12, 2021

9 COMMENTS:

  1. Kikubwa mnachokiweza ni kukaa mezani na kuvipiga vilabu vifurushi lakini sio kusimamia mpira kiutaalam

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na fungiafungia wanaowakosoa. Kwa kamati hii na TFF hii hakuna maendeleo ya mpira bali upuuzi mtupu.

      Delete
  2. Yaani ndio mambo yamekwisha na ni wazi kuwa kuahirishwa mechi hiyo ilifanywa kutokana na kanuni suala hapo Yanga ilikuwa na haki kugomea

    ReplyDelete
    Replies
    1. Haki gani alikua nayo yanga??tena kisheria alipaswa kushushwa daraja kwakukiuka kanuni,tff kupitia bodi ya ligi walitangaza muda Kwa timu zote mbili kwamba mechi itachezwa saa moja usiku,kisheria yanga walipaswa kupigwa faini kwasababu waligoma kuingia uwanjani Kwa muda uliotangazwa,na unaposikia Musa umesogezwa haina maana kwamba bodi ilikurupuka yenyewe ikaamua kufanya maamuzi,kuna wakati lazima tukubali kwamba tumekosea ingawa tuna mihemko dhidi ya timu pinzan huo ndio ukweli.

      Delete
  3. Unaposema kisheria yanga walipaswa kupigwa faini taja vipengele vya sheria watu wasome sio unaishia tu hewan

    ReplyDelete
  4. Kupelekana mbele ilikuwa kutokana na sheria zilizopo na Yanga ikapinga je hakuna hatua dhidi yao? Ikiwa ni hivo kila timu zitakuwa huru kufanya itakavyo

    ReplyDelete
  5. Hapo sawa kuhusu toket vp kuhusu nauli

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic