(Pichani: Prince William
(aliyesimama), na aliepiga goti ni Marcus Rashford MBE, Mshambuliaji wa
Manchester United na timu ya England)
MSHAMBULIAJI wa kikosi cha timu ya Taifa ya England na Manchester United, Marcus Rashford MBE, ametunukiwa nishani ya heshima ya kuwa sehemu ya Ufalme wa Uingereza (MBE).
Kwanini Rashford anaitwa MBE? Kwa
kirefu ni MEMBER OF BRITISH EMPIRE
Hii ni kutokana na namna alivyopambana kuhakikisha Serikali inabadili sera zake kwa Wanafunzi kupata chakula bure Mashuleni, lakini pia harakati zake za kutoa michango na misaada mingine ya kijamii kwa Watoto nchini Uingereza.
Heshima hii kwa kawaida hutolewa kwenye kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa 'birthday' ya Malkia Elizabeth.
Pivja
ReplyDeletePicha hii ipo kitumwa zaidi yaani Slave and his Master.Inakera kiasi kuona watu weusi bado tunasheherekea mambo ya kutudhalilisha tukidhani ni ujiko.
ReplyDeleteHard work never goes unrewarded. Keep fighting until you achieve your goals.
ReplyDelete