DK: TIBOROHA amesema kuwa kuna wachezaji ambao wanacheza kikosi cha Simba kwa sasa walipaswa kucheza ndani ya Yanga ila wapo Simba jambo lililomfanya ajitoe kwenye Kamati ya Ufundi wa Yanga kwa sababu wengi waliokuwa wanasajiliwa tofauti na yale mapendekezo ambayo yalikuwa yanapendekezwa.
Miongoni mwa wachezaji ambao walikuwa wanatajwa kuwa kwenye rada za Yanga na mwisho wa siku wakatua Simba ni pamoja na Luis Miquissone, Larry Bwalya na Clatous Chama.
Tukiwaambia kuna kirusi kwenye kamati ya ufundi ya Yanga wanakataa.Kuna jamaa yeye akipewa majina anayakata na kuweka majina yake mwenyewe.
ReplyDeleteKwa namna ya Yanga ilivo hivi sasa wachezaji hao wote wangepatikana wasingefaa na mfano Bakari Mnyeto alietokea Costal Union ambae Simba ilimtaks sana lakini baadae akajiunga na Yanga tazama uwezo wake sasa, ni ule aliokuwa nao alipokuwa Costal?
ReplyDeleteSI AMEPUMZIKA TU, JAMANI AU YUKO NONDO? MAANA MLISEMA BONGE LA BEKI, BEKI WA MILIONI 200, LEO YUPO WAPI?
DeleteHuyo jamaa baada ya kuishusha stand united ameibuka tena kutafuta kiki
ReplyDeleteMbona sijasikia akiwataja kwa majina, mwandishi kapata wapi hayo majina? Lakini ni kama anatangaza tuu biashara yake ya udalali wa wachezaji
ReplyDeleteKuna watu wanateseka na wameanza kuweweseka... Sasaa anataka kutuambia nn au yeye alikua bora kuliko Kamati ya ufundi ya sasaa? Akae kimyaa tyuu zama zake zilishapita....
ReplyDelete