May 19, 2021


UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa hawahitaji kujitahidi kuelekea kwenye mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Kaizer Chiefs, Mei 22 utakaochezwa Uwanja wa Mkapa. 

Simba imeweka wazi kwamba wanaweza kuwafunga mabao matano zaidi kwenye mchezo huo ambao unatarajiwa kuwa na ushindani mkubwa. Ili Simba itinge hatua ya robo fainali ni lazima ishinde zaidi ya mabao matano kwa sababu ule mchezo wa kwanza walikubali kichapo cha mabao manne kwa bila. 

 

3 COMMENTS:

  1. Ile mechi wachezaji wa Mufulila walifanya mgomo baridi baada ya kutopewa zawadi walizoahidiwa na kumfunga Simba Dar 4 - 0 na ndio wakaachia mechi wafungwe 5-0 Sisi wahenga tuna kumbukumbu wadanganye watoto Haji Manara

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic