May 31, 2021

6 COMMENTS:

  1. Hata Fiston na Sarpong mlijigamba hivyo hivyo waleteni tu hao magarasa

    ReplyDelete
  2. Ndio zawadi mnayopewa baada ya kuwasaidia kaizer chiefs

    ReplyDelete
  3. He he he ndio malipo ya utumwa wa kusaidia mbinu na mapokezi wakati walipokuja kucheza na simba

    ReplyDelete
  4. Hivi Chikwende anafanya nini pale kwa Gomez na Simba yake au ndio yaleyale ya Striker Mnaigeria na mlinzi MZIMBABWE

    ReplyDelete
  5. Dah... nyie waandishi ndio mnaturudisha nyuma yanga. Maana mara utasikia mchezaji ac vita aingia rada zao mara mbenin mara nani mara nini. Mwisho wa siku sisi kwa kufatilia mihemko yenu waandishi tunajikuta na wachezaji hovyo. ACHENI MIHEMKO MNATUPOTEZA

    ReplyDelete
  6. Hata Ronaldo akitua Yanga atapoteza ustaa wake kwa hivo ndio wanaondoka kwa Baraka waimalizike

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic