May 31, 2021

7 COMMENTS:

  1. Hiyu hana jipya kwa simba hii. Kama amekosa timu bora arudi kampala astaafu soka. Anajitafutia mahali tuu pa kujipatia pension simba wasihangaike nae

    ReplyDelete
    Replies
    1. Okwi ana shamba lake pale msimbzi mwache akavune msimu wake labda ndi utakuwa wa mwisho.Timu zetu kubwa hizi ni shamba la bibi

      Delete
    2. Sisi tunampenda sana Okwi aje tu hata kama vp ataendelea kutusaidia

      Delete
  2. Tetesi tu hizo.Hana uwexo wa kupata namba Simba pamoja na kuteuliwa kuwa nahodha wa Uganda Cranes,timu ya Taifa ya Uganda.

    ReplyDelete
  3. Simba tuache usajili wa siasa,we need to focus on the recommendation of coach,ukiangalia kikosi Cha Simba Sasa hivi hatuna haja na mawinga Wala washambuliaji kwani ukiangalia Mugalu,Bocco na Kagere wapo vizuri mno.Mimi nikiambiwa nisajili now,nitasajili kipa wa kiwango Cha Juu,kwani Manula anafungwa magoli ya kijinga, Tshabalala naye anahitaji msaidizi kwani match ya South wote tuliona, vilevile Wawa apatiwe mbadala kwani pumzi ishakata ila kiwango kipo.Huo ndiyo ushauri wangu Wana Msimbazi wenzangu ila Okwi hatumtaki hata kidogo kwani umri ushamtupa mkono

    ReplyDelete
  4. Okwi aje bado hatujaweza kuziba pengo lake, washambuliaji wetu wote wanasubiri kutengenezewa mipira pia wanakosa utulivu wakiwa karibu na goli la adui

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic