June 1, 2021

 


NYOTA wa Klabu ya Azam FC, Prince Dube ameongeza mkataba wake ndani ya kikosi hicho kwa muda wa miaka miwili.


Taarifa rasmi iliyotolewa na Azam FC imeeleza kuwa nyota huyo atasalia ndani ya timu hiyo mpaka 2024.

Nyota huyo ni namba moja kwanutupiaji ndani ya Ligi Kuu Bara akiwa ametupia mabao 14 na ana pasi tano za mabao.


Pia ana mabao matatu katika Kombe la Shirikisho ambapo Azam FC imetinga hatua ya nusu fainali na itacheza na Simba inayonolewa na Kocha Mkuu,  Didier Gomes. 



2 COMMENTS:

  1. Tamaa ya mikia imekatiliwa mbali

    ReplyDelete
    Replies
    1. Huna akili wewe,kwani simba ikimtaka ndio itashindwa kumchukua?huijui simba wewe na kwa taarifa yako Dube ni majeruhi wakudumu ndiomana akicheza mechi mbili tatu lazima akae benchi,simba ya sasa inaangalia mtu ambae ni mtu na nusu,Dube hawezi mikiki mikubwa ndiomana hata kwenye kikosi chao cha taifa hana namba ya kudumu,SIMBA IS NEXT LEVEL BROTHER INGAWA HUTAKI KUUKUBALI UKWELI.

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic