June 24, 2021

9 COMMENTS:

  1. Ukiangalia vizuri hajashinda ila amekiri makosa yake na kuomba asamehewe kitu ambacho ni cha kiungwana na amesamehewa. Mambo mengine ni bla bla tuu. Awe mwangalifu sasa aache kuropoka vinginevyo njaa ingemuua.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hapo TFF wameufyata wewe baada ya Yanga kuweka ngumu kufuata kanuni mechi na Simba. TFF wanajaribu 'kuibembeleza' Yanga icheze na Simba Julai 03 kwani wanajua wakiamua kugoma hawana cha kuwafanya na watasababisha mgogoro mkubwa

      Delete
    2. Wakigoma au wakiingia uwanjani hakuna impact yoyote maana bingwa ameshapatikana...

      Delete
    3. Wameufyata vipi wakati yeye mwenyewe alikiri kwamba alikosea. Amesamehewa baada ya kuomba asamehewe na wala sio kushinda kesi na hili ñi jambo jema kwa afya ya mpira wetu

      Delete
  2. Impact lazima itakuwepo, kwasababu Yanga team ni kubwa yenye washabiki wengi, laiti kama ikitokea figisu zikizidi maendeleo ya mpira yatakuwa mashakani, ndio maana TFF inabidi wajitadhmini ktk maamuzi yao.

    ReplyDelete
  3. Acha kuongea kinafiki, Umeambiwa Mwakalebela kakiri kosa na kuomba kuendelea kutumikia mpira wa Tanzania na kamati imemkubalia .... Sasa habari ya gemu ya Simba na Yanga hapa inakujaje? Basi Yanga waendeleze kukaza na wasicheze tarehe tatu tuone itakuwaje.. Yanga isitafute sababu ya kuikimbia Simba ..Naskia siku hiyo ndo Simba anapewa ubingwa labda ndo maana Yanga wana nongwa

    ReplyDelete
  4. Sasa hapo mechi ya simba na yanga inaingiaje, tumia japo akili kidogo basi hata kama unajifanya hamnazo. Mwakalebela aliamua yeye mwenyewe kuomba asamehewe sasa mnaanza kuvimba mbupu? Skane badi kama hakuomba huo msamaha ila ameshinda na aseme kashinda kwa ushahidi upi mpya.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic