June 2, 2021

 


IMEELEZWA kuwa kichapo cha mabao 4-0 ambacho Simba ilipata mbele ya Kaizer Chiefs kimebumisha dili la kipa namba moja Aishi Manula kusepa ndani ya timu hiyo.


Manula alikubali kuokota nyavuni mabao hayo wakati timu hiyo ilipokutana na Kaizer Chiefs nchini Afrika Kusini.


Habari zimeeleza kuwa timu ambayo ilikuwa inahitaji saini yake ambayo ni Mamelod Sundowns ya Afrika Kusini iliamua kusitisha mpango huo.

Mtoa taarifa hiyo amesema kuwa mpango wa Mamelod Sundowns umesitishwa kwa kuwa kichapo kile kiliwashtua viongozi.


"Ikiwa amecheza mechi nyingi na alifanya vizuri basi alipaswa awe na mwendelezo pia katika mechi ya ushindani kwa kuwa ile ya Kaizer Chiefs alishindwa inaonyesha bado anahitaji muda," .

6 COMMENTS:

  1. Acheni kutunga tunga habar nyie mbwiga

    ReplyDelete
  2. YANGA NI MIONGONI MWA CLUB ZINAZOTUMIA MUDA MWINGI NA NGUVU NYINGI SANA KUSHAWISHI MASHABIKI ZAO WAAMIN KITU AMA JAMBO AMBALO KIUHALISIA HALIPO,NA DHAMIRA KUU YAKUFANYA HIVI NI KWAMBA UKWELI WANAUFAHAMU KATIKA MAMBO MATATU 1;YANGA NI KLABU ILIYOSHUKA KIWANGO CHAKE KWA MIAKA YA HIVI KARIBUNI NA KUTHIBITISHA HILO HUU NI MSIMU WA NNE AU TANO SIMBA WANAENDELEA KUBEBA UBINGWA LIGI KUU,2;WAMEJITAMBUA KWAMBA HATA WAFANYE NINI HAWAWEZI KAMWE KUA SAWA NA SIMBA HIVYO WANATUMIA MBINU MBADALA KUWAHADAA MASHABIKI,MFANO MATUMIZI YA MEDIA KAMA GAZETI,REDIO BLOGS SOCIAL NETS NA TV,3;KESI YA BM3 HAIPO CAS TAS UKITAKA KUAMIN INGIA WEBSITE YA CAS THEN TAFUTA DATABASE SITE AMBAYO INAONYESHA KESI ZOTE ZA MIAKA YOTE NA KAMWE HUTAONA KESI YA BM3 NA JIULIZE KWANINI SIMBA INAPOELEKEA KUTAWAZWA KUA BINGWA NDIO MNAANZA KELELE,KWANINI TANGU MWANZO MLIKUA MMENYAMAZA?HII NI ISHARA KWAMBA YANGA MASHABIKI WAKE HAWAJIELEWI NA WANADANGANYWA SANA,MNGEHOJI KUHUSU MUANGOLA NA SIO BM3 ACHENI KUPOTEZEWA MUDA NA KUZUGWA AKILI.,4;USAJILI WA WACHEZAJI AMBAO TAYARI NI MAGARASA MFANO SAIDO,FISTON,SAPPONG,CALINHO,YIKPE NA WENGINE WENGI SANA.KWAKUHITIMISHA YANGA ITAKUJA KUPATA ANGUKO LAKUDUMU MUDA SIO MREFU NA MKIFANYA MCHEZO HATA NAFASI YA PILI MNAWEZA MSIIPATE MKACHEZO SHIRIKISHO NA SIO KLABU BINGWA AFRIKA.

    ReplyDelete
  3. Endeleen kutunga umbea mpaka mtakapochoka,wanaume wanatembea na biti makombe yote yanaenda msimbazi,mtaishia kombe lenu la zanzibar.

    ReplyDelete
  4. Mkachukue na kagame pia litawasaidia kujaza kikabati chenu.

    ReplyDelete
  5. Wewe kweli ni mkundu yanga inahusika VP na hizoporojo zenu?

    ReplyDelete
  6. Liverpool walimnunua alisson becker kwa lililovunja rekodi ya makipa baada ya kutoka kumfunga goli saba ktk mechi mbili ndani ya wiki moja. Walichoangalia ni uwezo wake kwa ujumla na sio matokeo ya mechi moja. Na ndio kipa aliekuja kuwapa ubingwa wa epl na champions league. Hivi kipa gani bora hajawahi kufungwa nne? Tunajua waandishi takataka mnatafuta kula yenu ila punguzeni uongo maana inawezekana hao mamelody wala hawajawahi kusema wanamtaka manual.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic