June 2, 2021


 WAKATI tetesi zikieleza kuwa kipa namba moja wa Yanga, Metacha Mmata anahitajika ndani ya Simba, kocha wa makipa Milton Nienov amesema hana mpango wa kuongeza kipa mpya.


Raia huyo wa Brazil amesema kuwa anakubali uwezo wa makipa alionao kwa sasa hivyo atafanya nao hao kazi.


Makipa hao ni Aishi Manula,  Beno Kakolanya na Ally Salim jambo linalomfanya asipate nafasi kufikiria usajili mpya.


Metacha amekuwa akihusishwa na Simba na ila kwa sasa alitajwa kuwa na utovu wa nidhamu jambo lililosababisba akaondolewa katika msafara uliokuwa Shinyanga na hakucheza mchezo wa robo fainali dhidi ya Mwadui katika Kombe la Shirikisho.

Kocha huyo amesema:"Kwa sasa hapana sina haja ya kipa mpya maana nina furaha na makipa nilionao,". 

3 COMMENTS:

  1. YANGA NI MIONGONI MWA CLUB ZINAZOTUMIA MUDA MWINGI NA NGUVU NYINGI SANA KUSHAWISHI MASHABIKI ZAO WAAMIN KITU AMA JAMBO AMBALO KIUHALISIA HALIPO,NA DHAMIRA KUU YAKUFANYA HIVI NI KWAMBA UKWELI WANAUFAHAMU KATIKA MAMBO MATATU 1;YANGA NI KLABU ILIYOSHUKA KIWANGO CHAKE KWA MIAKA YA HIVI KARIBUNI NA KUTHIBITISHA HILO HUU NI MSIMU WA NNE AU TANO SIMBA WANAENDELEA KUBEBA UBINGWA LIGI KUU,2;WAMEJITAMBUA KWAMBA HATA WAFANYE NINI HAWAWEZI KAMWE KUA SAWA NA SIMBA HIVYO WANATUMIA MBINU MBADALA KUWAHADAA MASHABIKI,MFANO MATUMIZI YA MEDIA KAMA GAZETI,REDIO BLOGS SOCIAL NETS NA TV,3;KESI YA BM3 HAIPO CAS TAS UKITAKA KUAMIN INGIA WEBSITE YA CAS THEN TAFUTA DATABASE SITE AMBAYO INAONYESHA KESI ZOTE ZA MIAKA YOTE NA KAMWE HUTAONA KESI YA BM3 NA JIULIZE KWANINI SIMBA INAPOELEKEA KUTAWAZWA KUA BINGWA NDIO MNAANZA KELELE,KWANINI TANGU MWANZO MLIKUA MMENYAMAZA?HII NI ISHARA KWAMBA YANGA MASHABIKI WAKE HAWAJIELEWI NA WANADANGANYWA SANA,MNGEHOJI KUHUSU MUANGOLA NA SIO BM3 ACHENI KUPOTEZEWA MUDA NA KUZUGWA AKILI.,4;USAJILI WA WACHEZAJI AMBAO TAYARI NI MAGARASA MFANO SAIDO,FISTON,SAPPONG,CALINHO,YIKPE NA WENGINE WENGI SANA.KWAKUHITIMISHA YANGA ITAKUJA KUPATA ANGUKO LAKUDUMU MUDA SIO MREFU NA MKIFANYA MCHEZO HATA NAFASI YA PILI MNAWEZA MSIIPATE MKACHEZO SHIRIKISHO NA SIO KLABU BINGWA AFRIKA.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic