BODI ya Wakurugenzi ya Klabu ya Simba leo Juni 16 imefanya kikao ili kujadili mambo mbalimbali ambayo yanaihusu klabu.
Miongoni mwa mambo ambayo wameyajadili ni pamoja na mipango ya maendeleo.
Taarifa rasmi iliyotolewa kupitia ukurasa rasmi wa Istagram wa Simba umeeleeza kuwa Kikao hicho kimeongozwa na Mwenyekiti wa Bodi, Mohammed Dewji, 'Mo'.
Miongoni ambao walihudhuria kikao hicho ni pamoja na mtendaji mkuu wa Simba, Barbara Gonzalez.
Habari gani Hizo mbovu... Gomez pekee ndio mwanaadamu...?? Waliobakia hawana maana au umuhimu..??
ReplyDeleteHuenda alieandika hii habari atakuwa ni Jonas Mkude
DeleteHivi ninyi watu , mambo mengine mnokosoa Lakini kwa Mwandishi yupo sawa pale watu muhimu Ni hao wawili hii Ni sawa na kusema Rais alihutubia Bunge akatajwa Spika na Naibu wake.
ReplyDelete