MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA SPOTI XTRA ALHAMISI MUONEKANO wa Ukurasa wa mbele Gazeti la SPOTI XTRA Alhamisi
Mchezaji anayechezea timu ya taifa Tunisia aje huku bongo, tena kujiunga na timu ambayo haipo ktk ramani ya mpira wa Africa? Ngumu sana.
ReplyDeleteManyau nyau fc..... Mikia ndo mpo kwenye ramani ya soka la Africa......Mfungeni kwanza tz prisons ndo tuwaelewe...... Wazee wa 4G aka LOKOSA MAGOLI
ReplyDeleteMatopolo wamezowea kutapeliwa kama ilivo msimu uliopita na kabla yake na ndivo itavokuwa
ReplyDelete