June 16, 2021


 CHAMA cha Soka England (FA), kimetangaza ratiba ya Premier League kwa msimu wa 2021/22 ambapo tayari kila timu zishajua namna mambo yatakavyokuwa.

Msimu ujao mechi zinatarajiwa kuaza kuchezwa Agosti 14, 2021.


Katika ratiba hiyo, mabingwa watetezi, Manchester City watakuwa wageni wa Tottenham, mchezo unaotarajiwa kuwa mkali kutokana na ukubwa wa timu hizo.

Wageni ndani ya ligi hiyo, Brentford watawaalika Arsenal, huku Norwich nao wakiwa wenyeji wa Liverpool na Watford dhidi ya Aston Villa.

Mechi zingine ni; Burnley v Brighton, Chelsea v Crystal Palace, Everton v Southampton, Leicester v Wolves, Man Utd v Leeds na Newcastle v West Ham.

3 COMMENTS:

  1. Hawa ndio wenye mpira wao cc ni siasa mbovu tu nakwenda mbele

    ReplyDelete
    Replies
    1. Upo sahihi kabisa ndugu, kwetu ni siasa za soka tu

      Delete
  2. Sio uwongo ni kweli kabisa siasa za mpira wa bongo ndio zinatufanya tusiendelee kabsaaa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic