VIDEO: NAMNA MUKOKO ALIVYOUMIA NA KUTOLEWA KWA MKAPA NAMNA kiungo wa Yanga, Mukoko Tonombe alivyoondolewa uwanjani jana, Juni 17 baada ya kuumia.
Huyo jamaa hayuko fiti na bado anaumwa but Utopolo wanampiga sindano aonekane hana tatizo, shida ni kwamba atapata majeraha ya kudumu aje aue kiwango chake
ReplyDeleteHuyu jamaa si aliumia kule congo? Alipona au anakandamizwa sindano kuokoa jahazi?
ReplyDeleteKamulizeni Mukoko humu hamna reporter wake
ReplyDelete