VIDEO: SHILOLE AMVAA BABA LEVO KISA TAULO MUDA wa msosi kwa wasanii waliopo kwenye tamasha la Nandy Festival, Shilole akamchana Baba Levo kwamba hawezi kuvaa taulo wakati huo.
Ila hata kama ni usanii huu ni ushamba na ukosefu wa maadili. Utaendaeje kula tena hadharani huku umevaa taulo?
ReplyDelete