June 1, 2021

5 COMMENTS:

  1. Hawa jamaa kila wanapomuona Morrison akitua magoli na kudifiwa, Mara wao hupandisha kichaa na Kuan a kufunguwa kesi zisizomana za kumtaka Tena Morrison. Hapa kwetu Kuna timu zenye uwezo mkubwa kwa kila kitu na mfano ni Azam, Simba Bisshara, Namungo, Polidi. Kinondoni na nyingi nyengine, lakini hatuzisikii malamiko yoyote pindi zikifunga au kufunguwa au pale wachezaji wao muhimu wanaposajiliwa kwengine kinyume na Yang ambsyo imekuwa ikifanya fujo na kufunguwa mshitska yasiyo na kichwa Wala miguu, mambo ambsyo hayakuwepo katika uongozi WA Manji ambao Yanga wammekuwa wakuwa wakimiota na kusingizia kurudi na Wala hatuoni lolote. Hii ni aibu kubwa

    ReplyDelete
  2. Wanajisumbua tuu na kuwapumbaza washabiki wao

    ReplyDelete
  3. Yanga wanawapa moyo mashabiki ila ukweli Morrison ni mchezaji wa simba

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic