July 6, 2021

10 COMMENTS:

  1. Mzee mpili amegeuka kuwa msemaji wa utopolo. Kweli uchawi dili kwa wapuuzi

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hana tofauti na Morrison!! Anawakerrrra!!!!!!!!

      Delete
  2. Yanga sasa rasmi ina wasemaji watatu. Bumbuli (yanga uongozi), Nugaz (gsm), Mpili (kundi la wachawi na vigagula)

    ReplyDelete
  3. Cha ajabu Mpili anazungumzwa pia na wanao jiona werevu, mikia fc na mropokaji wao

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahahahahahah!!!!!Yaani jemedari mmoja anatingisha kijiji kizima hadi wamebaki wanaweweseka tu

      Delete
  4. Replies
    1. Yees!!!! Ndo ujemedari wenyewe huo!!!

      Delete
    2. Hakuna uchawi wala nini semeni tu janja yenu ya kupulizia madawa na vile vilevi vyenu vilidhibitiwa.
      Figisu kushnei

      Delete
  5. Vita ni mbinu aisee mpili mzee mpili endelea kuwapiga vita baridi hadi wagande hahaha et uchawi! Kama uchawi upo mbona TANZANIA haijawahi kufuzu WORLD CUP? mikia fc lini mtamjua MUNGU?

    ReplyDelete
  6. Mbona mikia waliingia na Paka wakasena haikua uchawi, kwann wanaamini uchawi wakati wanacheza na wa chezaji wa kuokota

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic