July 22, 2021

 


KIKOSI cha Yanga leo Julai 22 kimewasili Kigoma kwa ajili ya maandalizi ya mwisho ya mchezo wa Kombe la Shirikisho. 


Mchezo huo unatarajiwa kuchezwa Uwanja wa Lake Tanganyika,  itakuwa ni Julai 25, saa 10:00 jioni.


Wanakutana na mtani wao wa jadi Simba ambao ni mabingwa watetezi wa taji hilo ambalo walitwaa msimu uliopita mbele ya Namungo. 


Unatarajiwa kuwa mchezo mgumu kwa pande zote mbili kwa sababu wanakutana wakiwa wametoka kunyooshana kwenye ligi.


Julai 3, ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Simba 0-1 Yanga hivyo Yanga watataka kuendelea pale walipoishia kwenye ligi na Simba wakihitaji kulipa kisasi.

7 COMMENTS:

  1. Tayari hata mkwanja inasenekana wameshapokea lakini haijaelezwa vipi hali ya mkwananja itakuwa pale upepo utapoupeleka meli kusipitarajiwa

    ReplyDelete
  2. Manara wetuuu. GSM NDIE anaemlipa posho nono Manara acha hicho kimkataba cha mil 4 waliweka mezani simba. Huku kila function Manara huondoka na mil 10. Mipango ya yanga ni moto

    ReplyDelete
    Replies
    1. Baada ya Senzo na Manara kinachofuata ni kumchukua MO Dewji :D ;D

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic