July 30, 2021

8 COMMENTS:

  1. Hata Sarpong alikuwa si noma tu bali moto wa kuotea mbali wa kwenye Magazeti na mitandao.

    ReplyDelete
  2. Afadhali Chikwende alicheza na kufunga CAF Champions league. Sarpong???Hata ligi imemshinda.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Sarpong si alishawafunga mikia kwa penalt!!

      Delete
  3. Tatizo mikia wote sawa akili zao mbovu tu,huyo MO anaonyesha mfano wa Hindi je hiyo 51 ya Wazee wa mabusha wamelipa? na je mchakato wake ipoje, CSE inaonyesha Kama wameanzisha kijiwe Cha chips

    ReplyDelete
    Replies
    1. Watalipa nyani, jina maarufu alilowapa yule kocha wenu wa zamami!

      Delete
    2. kama hujui kitu nyamaza Simba ilikuwa inamilikiwa asilimia 100 na wanachama Mo kanunua asilimia 49 unataka wanachama walipie hiyo asilimia 51 inaelekea hata la saba hukumaliza hizo hesabu za darasa la tano

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic