July 28, 2021


 MASHABIKI wa Klabu ya PSG wamejitokeza kuweka mabango nje ya Uwanja wa Parc des Princes yakiwa na maandishi ya kumkataa nyota wa Manchester United Paul Pogba.

Nyota huyo amekuwa akitajwa kuibuka ndani ya PSG ili aweze kuwatumikia msimu ujao.

Mabango hayo yameeleza kuwa Pogba hahitajiki ndani ya kikosi hicho na anapaswa amsikilize mama yake asiwe mbishi.

"Pogba unatakiwa umsikilize mama yako, hutakiwi ndani ya PSG na sisi hatukutaki," lilisomeka bango hilo.

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic