July 15, 2021


LEO Juali 15, Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ikiwa ni hatua ya lala salama kwa timu kuingia uwanjani kusaka ushindi.

Mechi hizi pia zitarushwa mubashara Azam TV ambapo timu zote zitakuwa kazini kusaka pointi tatu muhimu.

Ratiba kamili ipo hivi:- 

Tanzania Prisons v Biashara United, Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Saa 10:00 jioni.

KMC v JKT Tanzania, Uwanja wa Uhuru, Dar. Saa 8:00 mchana.

Ruvu Shooting v Namungo, Uwanja wa Mabatini, Pwani. Saa 10:00 jioni.


Mbeya City v Gwambina, Uwanja wa Sokoine, Mbeya. Saa 10:00 jioni.


Polisi Tanzania v Kagera Sugar, Uwanja wa Ushirika, Moshi. Saa 10:00 jioni.


Coastal v Mwadui, Uwanja wa Mkwakwani, Tanga. Saa 10:00 jioni.


Yanga v Ihefu, Uwanja wa Mkapa, Dar. Itachezwa saa 10:00 jioni.

Azam v Simba, Uwanja wa Azam Complex, Dar itachezwa saa 1:00 usiku.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic