TAARIFA ambayo ni mbaya kwa ulimwengu wa michezo leo, Julai 9 ni kuhusu ajali waliyopata wachezaji wa timu ya Polisi Tanzania inayoshiriki Ligi Kuu Bara.Taarifa iliyotolewa na Ofisa Habari wa timu hiyo, Hassan Juma imeeleza namna hii:Leo majira ya saa 11:00 asubuhi timu ya Polisi Tanzania imepata ajali wakati ikitoka mazoezini kwenye uwanja wa TPC uliopo kwenye Kiwanda cha sukari TPC Moshi na kupelekea majeruhi kwa wachezaji 16 ambao ni
1. Gerald Mdamu - amevunjika miguu yote miwili
2. Abdullazizi Makame
3. Pius Buswita
4. Daruweshi Saliboko
5. Deusdedity Cosmas
6. Salum Ally
7. Abdulmaliq Adam
8. Idd Mobby
9. Marcel Kaheza
10. Shabani Stambuli
11. Yahaya Mbegu
12. Datusi Peter
13. Mohammed Bakari
14. Mohammed Yusuph
15. Kassim Haruna
16. Christopher John
17. George Mketo - dereva
18. Vicente Ngonyani - dereva
Wachezaji wote hawa wapo KCMC wakiendelea na uchunguzi wa daktari, chanzo cha ajali kinachunguzwa.
Mungu awalinde na kuwapa afya wachezaji wote, pia salamu kutoka timu mbalimbali zimekuwa zikitumwa ikiwa ni pamoja na Simba, Yanga, Azam FC, Tanzania Prisons.
Daa habari mbaya poleni sana ndugu zetu polisi Allah awafanyie wepesi mpone haraka
ReplyDeleteIlikuwa ni saa 11 asubuhi au saa 5 asubuhi?
ReplyDeleteMtoa taarifa aweke sawa muda uliotokea ajali.
Jamani poleni sana wajeshi Mungu atawasaidia mtapata nafuu. Ila kwa Gerald Mdamu pole sana kijana maana kuvunjika miguu yote miwili si mchezo hata kidogo. Tunawaombea kwa Mwenyezi Mungu awape shufaa
ReplyDeleteDuh,poleni sana, mungu awalinde
ReplyDeleteKwakweli taarifa inaumiza sana jmn! Mwenyezi Mungu muweza wa yote awaponye majeruhi wote kwa haraka zaidi,,,amina!
ReplyDeleteYaani kwa mdamu miguu yote jamni
ReplyDeleteAllah awaponye Majeruhi wote na warejeee katika hali zao za kawaida. Pole kwake Mdamu, Allah atamponya.
ReplyDeleteDaaahhhh jamani pole zao na mungu awaponye haraka na kurudi kwenye majukumu yao
ReplyDeletepoleni ndungu zangu kwa ajali ila mjuwe tuko pamoja na tuna waombia mungu awaponye kwa alaka ili muludi kwenye majukumu yenu kma zanani
ReplyDeleteBwana awape ahueni na mpate nafuu ya afya ndg zangu
ReplyDeleteDuh as mungu watie nguvu mungu you pamoja nanyie mtapona ase
ReplyDelete;-(
ReplyDeletePole Sana wachezaji wote mliopata ajali
ReplyDeleteMungu awatangulie na kuwaponya
ReplyDelete