VIDEO: MKWANJA WA YANGA BILIONI 34.8 KUSHUSHA VIFAA VYA MAANA
MKWANJA ambao wameupata Yanga wa miaka 10 walioingia Yanga na Azam Media Yanga inakwenda kuwa na jeuri ya matumizi ya mkwanja ambao unawafanya wawe na mkwanja mrefu wa kusajili wachezaji bora kutoka Afrika Kusini, Zambia na hata nchi za Kiarabu ikiwa ni pamoja na Algeria.
Hongereni sana hasa kwakuwa mapambano yatakuws makubwa sana kuifanya Tanzania kuwa na vikosi bora
ReplyDeletekwa milion 200 za kila mwezi ambazo kwa mwaka b2+ 😆😆
ReplyDeleteHii itaongeza chachu hata kwenye ligi
ReplyDeleteIkiwa ni kweli wala sio propaganda za kila wakati tulizozizowea
ReplyDeleteViongozi Yanga isiwe ndio wizi na dhuluma kwa makocha na wachezaji. Zisitumike hizo pesa kwenye mambo ya uchawi na ushirikina ati kusafisha mazingara kama mnavodai mkiulizwa pesa zimeenda wapi. Hata kusikia mlimhonga refa au mchezaji pinzani hatutaki. Imarisheni timu sasa na mambo yatajipanga wenyewe
ReplyDeleteAkili zako znakutosha mwenyewe
DeleteMwenyewe vipi? Waksti ripoti ya matumizi ya miaka mitano nyuma inaonesha viongozi wamepiga pesa kishenzi. Pata muda uitizame. Eti mazingara........
Delete