VIDEO: MGOSI: MSIMU UJAO UTAKUWA NA USHINDANI MKUBWA
KOCHA Mkuu wa Simba, Queens amesema kuwa wanatambua kwamba msimu ujao utakuwa na ushindani mkubwa tofauti na ilivyokuwa msimu huu ambao timu hiyo imetwaa taji la Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania. Pia mchezaji Oppa Clement amesema kuwa shukrani zao ni kwa mashabiki pamoja na viongozi.
0 COMMENTS:
Post a Comment