VIDEO: MRITHI WA HAJI MANARA SIMBA AFUNGUKA MWANZO MWISHO
MRITHI wa Ofisa Habari wa Simba, Haji Manara, Ezekiel Kimwaga amesema kuwa sio mara yake ya kwanza kufanya kazi ndani ya Simba hivyo anaamini kwamba atafanya kazi vizuri kwa muda ambao ameteuliwa kukaimu nafasi hiyo.
0 COMMENTS:
Post a Comment