July 14, 2021

JULAI 14 mabingwa wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania, Simba Queens wanaonolewa na Kocha Mkuu, Mussa Mgosi, walikadhiwa rasmi ubingwa wao Uwanja wa Uhuru baada ya kucheza mchezo wa kirafiki na timu ya taifa ya Twiga Stars ambapo ubao ulisoma Simba Queens 1-2 Twiga Stars. Namna walivyokabidhwiwa ubingwa wao mambo yalikuwa namna hii:- 

 

1 COMMENTS:

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic