VIDEO: SHABIKI SIMBA ANAVYOIPENDA SIMBA HUKU YULE WA YANGA AKIWEKA WAZI KWAMBA WANASHINDA
SHABIKI wa Simba aliyechora nembo ya Simba mkononi anasema kwamba anaamini kwamba Simba haiwezi kumuumiza yeye amechagua Simba na anaamini kuna kufungwa, sare na kushinda na vyote anavijua kwa upande wa shabiki wa Simba ameweka wazi kwamba hawatafungwa leo







0 COMMENTS:
Post a Comment