VIDEO: YANGA WAFURAHIA DILI LA AZAM TV
MSHAURI Mkuu wa Klabu ya Yanga kuelekea kwenye mabadiliko, Senzo Mbatha amesema kuwa kusaini dili lenye thamani ya bilioni 41 na Azam Media kwa kipindi cha miaka 10, jana Julai 8 kuhusu mahudhui kwao ni furaha kwa sababu kila jambo ambalo linafanyika ni lazima litangazwe ili wale waliopo pia kijijini waweze kuona kinachoendelea.
Simba watasaini mkataba wenye thamani kubwa zaidi ambao thamani yake ni mara mbili zaidi ya mkataba wa Yanga, Yanga wametangulizwa tu kama chambo, Yanga ni brand kubwa kama Simba na thamani zao zinalingana na pengine Yanga inamzidi Simba kwa miundo mbinu na idadi ya wafuasi lakini tatizo la Yanga wapo inferior sana na Simba wapo superior sana. YANGA hawajiamini kama Simba na sio wabunifu, Haji Manara amekuwa akitumika kuipaisha Simba kwa propaganda zake na uwa anatumika kuidhoofisha Yanga kwa propaganda zake, Yanga ni wadhaifu mbele ya mafanikio ya Simba. Mtu mwenye akili finyu ambae akili yake inafikiria mwisho wa pua yake atapingana na kauli yangu.
ReplyDeleteSimba na yanga hazina tofauti.. na mkataba watakaotoa Azam ni huo huo.. hata Hispania,, Barcelona na Real zinapata sawa kwenye haki za matangazo.. no bias..
ReplyDelete