July 27, 2021

3 COMMENTS:

  1. Nitamzungunzia Manara hapa.Aliikosea Simba na wanasimba na kumvunjia heshima mkuu wake wa kazi, wahenga wanasema masikio kamwe hayawezi kuzidi ukubwa wa kichwa hata kichwa kikiwa kidogo vipi. Sijui Simba wataachukua hatua gani juu ya Manara ingawa ameshaonesha dalili ya kujutia alichokifanya ila ninachokijua mimi Manara hawezi kujirejesha kwenye nafasi yake ya kazi licha ya kuomba msamaha kwani alishaongea Mambo ya ajabu Sana juu ya klabu yake, moja wapo ni lile la kutokuwa na Imani na uongozi wa Simba juu hatima ya maisha yake kuwa wanaweza kumuua. Hili moja tu linamfanya Manara kuwa sio stable minded person wa kumkabidhi mdomo mkuu wa simba kwani soon or later atakuja kuigharimu timu.
    Simba wanatakiwa kuwa na msemaji wa Klabu mwengine na wamtafutie Manara kitengo kingine Cha kazi ndani ya klabu ikiwezekana wampe Manara special assignment ya kuzunguka nchi nzima hadi nchi za jirani kwanza kabisa kusimika uanachama kwa mshabiki ambao sio wanachama na kuuza zaidi brand ya Simba kwa mashabiki na bidhaa zake Kama Simba wao wenyewe wataona inafaa.

    ReplyDelete
  2. Wewe Jaji ,kumbe mnamlipa laki Saba tuuuuuu

    ReplyDelete
  3. Laki Saba Makubaliano.Kuna wanaolipa mahari mamilioni ya pesa wanawake wakawaida tu na Kuna wanaokubaliana na warembo wa shoka bure kabisa.Mrembo akija kulia kuwa yeye ni mrembo lakini umemchukua bure ni moja kati ya mapenzi we wa pembeni ukijitia kiherehere kuingilia kati utakuja aibika.

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic