VIDEO:HALI ILIVYO KWA SASA UWANJA WA MKAPA MASHABIKI wamejitokeza kwa wingi Uwanja wa Mkapa kushuhudia mchezo wa ligi kati ya Simba na Yanga unaotarajiwa kuchezwa majira ya saa 11:00 jioni.
0 COMMENTS:
Post a Comment