July 6, 2021


NYOTA watano wa Simba kesho wanatarajiwa kuukosa mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya KMC unaotarajiwa kuchezwa Uwanja wa Mkapa.

Ni kipa namba tatu Ally Salim ambaye hayupo kwenye mpango wa Kocha Mkuu, Didier Gomes sawa na beki wa kushoto Gadiel Michael.

Mwingine ni Jonas Mkude ambaye ana matatizo ya suala la nidhamu.

Mbali na kiungo Mkude pia mshikaji wake Ibrahim Ajibu huyu yupo nje ya kikosi kwa kuwa anaumwa Malaria.

Perfect Chikwende alikuwa kwenye majukumu ya timu ya taifa ya Zimbabwe.

7 COMMENTS:

  1. Habari utopolo!!!! Hao hata wakiwa fit huwa wanakaa jukwaani halafu leo unasema wataukosa mchezo wa kesho...

    ReplyDelete
    Replies
    1. Tarehe mliingiza washambuliaji wote na viungo wote mnaowategemea kwa sasa, lakini waulize shughuli ilivyokuwa. Chama dakika 90 zilimshinda kumaliza!

      Delete
    2. Tarehe 3 mliingiza washambuliaji wote na viungo wote mnaowategemea kwa sasa, lakini waulize shughuli ilivyokuwa. Chama dakika 90 zilimshinda kumaliza!

      Delete
  2. Ety chikwende yupo na majukumu ya team ya taifa....ha has haaaĆ a! Semeni hili galasa halipo kwenye mipango yetu.....

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic