July 18, 2021


 KIKOSI cha Yanga kinachonolewa na Kocha Mkuu, Nasreddine Nabi kimelazimisha sare ya bila kufungana na Dodoma Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Jamhuri, Dodoma.

Licha ya Yanga kupambana kusaka ushindi sawa na Dodoma Jiji ambao ni wenyeji ngoma ilikuwa nzito kwa timu zote ambapo zimegawana pointi mojamoja.

Matokeo hayo yanaifanya Yanga kukamilisha msimu wa 2020/21 ikiwa nafasi ya pili na pointi zake ni 74.

Dodoma Jiji inakamilisha mzunguko ikiwa nafasi ya 8 na pointi zake ni 44.

6 COMMENTS:

  1. Dodoma kamfumuwa mshoni yule mwenye tambo nyingi na na majisifu

    ReplyDelete
  2. Hivi Yanga huwa wanajiandaa kuifunga Simba tu?

    ReplyDelete
  3. Kwani wewe umeona full dose, waacheni na wengine wacheze na nyinyi subirini jambo letu kutoka kwa Bumbuli.

    ReplyDelete
  4. Azam wangwzidisha juhudo kidogo tu wao wangekuwa wapili. Maaikini matopolo,leo watalala mapema wakiifikiri mikia.
    Wamemuangusha Kocha mpya aliepazwa na kuitwa muokozi Hahahaaa

    .

    ReplyDelete
    Replies
    1. Wangepataje hiyo nafasi ilhali walishazidiwa points na Yanga hata kama angefungwa jana

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic