July 18, 2021


NGWE ya msimu wa 2020/21 imemeguka na kila timu imejua kile ambacho ilikuwa inahitaji ambapo Simba ni mabingwa wa Ligi Kuu Bara na zote mechi nane zimeonyeshwa katika Azam Media.

Haya hapa matokeo ya mechi zote ambazo zimechezwa leo, Julai 18:-

FT: Coastal Union 3-1 Kagera Sugar (Sopu 2’p, 59’, Mtenje 16’ / Mwaterema 19’).

FT: JKT 2-1 Mtibwa Sugar (Nurdin 12’p, Mgandila 85’ / Makang’a 56’).

FT: Mbeya City 4-0 Biashara United (Siraji 10’, Luizio 25’, 46’, 49’).

FT: Simba 4-0 Namungo (Kagere 19’, Mugalu 25’, 67’, Bocco 90’+4p).

FT: Tanzania Prisons 1-1 Gwambina (Mdoe 77’ / Japhet 81’p)

FT: Ruvu Shooting 0-1 Azam (Mudathir 42’).

FT: Polisi Tanzania 1-0 Mwadui (Shoji 48’)

FT: KMC 1-0 Ihefu (Ilanfya 81’)

Dodoma Jiji 0-0 Yanga.

5 COMMENTS:

  1. Baada ya kupata bao moja la Mauuya dhidi ya Simba. Mcheaji akapata sifa kubwa sana na Cocha nae akaahidi makubwa na uongizi ukaahidi mechi za Africa watafika mbaki kuliko alipofika Mnyama, jee kiawango cha leo kitayaweza hayo?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic