LEO Juni 18, kwenye viwanja tofauti inapigwa michezo ya mwisho kukamilisha mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Tanzania Bara.
Kwa sasa kwa timu zote ni mapumziko baada ya dakika 45 za awali kumeguka na timu kupata kile ambacho wamekivuna ndani ya uwanja.
Ni dakika 45 ambazo zimebaki kufanya maamuzi kwa timu ambazo zinapambana kusaka nafasi ya kubaki ndani ya ligi.
Matokeo yapo
namna hii:-
Ruvu
Shooting 0-0 Azam FC
Mbeya City
2-0 Biashara United
JKT Tanzania
1-0 Mtibwa Sugar
Simba 2-0
Namungo
Dodoma Jiji
0-0 Yanga
Coastal
Union 2-1 Kagera Sugar
KMC 0-0
Ihefu
Tanzania
Prisons 0-0 Gwambina
Polisi
Tanzania 0-0 Mwadui
0 COMMENTS:
Post a Comment