IKIWA leo Agosti 31 dirisha la usajili linatarajiwa kufungwa ifikapo saa sita kamili usiku, Ruvu Shooting wamekamilisha usajili kwa kuwatangaza nyota wao wapya na wale waliokuwa ndani ya kikosi hicho kwa msimu wa 2020/21. Pia imepandisha nyota wengine kutoka kikosi cha vijana.
Hivi taarifa kama hii, sio ilipaswa kutolewa kukiwa na background ya wadhamini?
ReplyDelete