August 1, 2021



FT: Yanga 1-1 Nyassa Big Bullets 

Dk 90:5 Godfrey anaokoa hatari ya Big Bullets 

Kwangala anakwenda nje anaingia kipa Godfrey 

Dakika ya 90 Kabwili anaonyeshwa kadi nyekundu baada ya mwamuzi kutafsri amemchezea faulo mchezaji wa Nyasa Big Bullets 

Dakika ya 87 Job anapewa huduma ya kwanza 

Dakika ya 84 Paul anaonyeshwa kadi ya njano kwa kumchezea faulo nyota wa Big Bullets aliyekuwa anakwenda kuonana na Kabwili

Dk 81 Paul anafanyiwa faulo inaokolewa na kipa

Dk ya 73 Mashoto wa Yanga anaonyeshwa kadi ya njano

Dakika ya 70 Ukonge anafanya jaribio linaokolewa na kipa

Dakika ya 67 Kabwili anaokoa hatari 

Dk ya 60 Kajoka anaingia anatoka Msowoya

Dk 56 Said Kwangala anaingia kuchukua nafasi ya Adeyum Saleh

Dk 46 Adeyum anaonyeshwa kadi ya njano 

Kipindi cha pili kimeanza

Huu ni mchezo wa ufunguzi wa Kombe la Kagame, Uwanja wa Mkapa, Agosti Mosi.


Mabingwa watetezi ni KCCA ya Uganda.


KOMBE la Kagame

Uwanja wa Mkapa

Kipindi cha kwanza



Yanga 1-1Nyasa Big Bullets

Mpira ni Mapumziko 

Dakika 1 imeongezwa

Dakika ya 42 Paul Godfrey anaporwa mpira na Babatunde 

Dakika ya 39 Babatunde anachezewa faulo nje kidogo ya 18 mwamuzi anapeta

Dakika ya 38 Ukonde anamtengenezea nafasi Juma Mahadhi anakosa

Dakika ya 37, Adeyum anarudisha nyuma kwa Job kisha kazi inapelekwa mbele mazima

Dakika ya 35 Ninja anapokwa mpira na Babatunde 

Dakika ya 30 , Chiukepo anafunga penalti  

Dakika ya 28 Ninja anamchezea faulo Babatunde inakuwa penalti

Dakika ya 27 Chimwemwe wa Big Bullets anapeleka mashambulizi Yanga

Dakika ya 25 Ukonde anafanya jaribio linakwenda nje ya lango 

Dakika ya 22 Mkandawile anachezewa faulo na Ambundo

Dakika ya 21 pacha wa Konde Boys anafanyiwa faulo 

Dakika ya 20 Kabwili anaokoa majalo ya vijana wa Big Bullets 

Dakika ya 19 Kahemela wa Yanga anacheza faulo

Dakika ya 18 Job anaanua majalo 

Dakika ya 11 Kabwili anaokoa hatari

Dakika ya 7 Ambundo anatoa pasi kwa Wazir Junior,Goooal

Dakika ya 3 Yanga wanapeleka mashambulizi kwa Nyasa

22 COMMENTS:

  1. Ninja sio mchezaji anaweza kusababisha tukakosa ubingwa angetolewa tu,kwani hakuna mbadala?

    ReplyDelete
  2. Ok siyo mchezaji na Kwanini anacheza Mpira

    ReplyDelete
    Replies
    1. Unaangalia mpira au unaongea tu?

      Delete
  3. Kama unaangalia haina haja yakubishana,usipoteze energy wakati kuna kazi zakufanya.

    ReplyDelete
  4. Huyu Ninja wa Kiembesamaki anachojua ni kurusha mateke na kucheza chogo chemba tu
    Msimu uliopita wakati anasajiliwa niliandika humu kuwa ni kupoteza nafasi tu

    ReplyDelete
  5. Wananchi hoi mapema. Yaleyale ya Simba kuanza kupiga baada ya kuelemewa. Mnatuaibisha mapema. Ndio kikosi cha mskombe hicho. Mnatuvunja moyo

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hao wamechanganyika na hawajakaa pamoja muda wa kutosha. Yaani watu ambao hawajui mpira ndio wenye midomo

      Delete
    2. Kwanin unatumia facts nyepesi sana kutetea ujinga?ina maana sote hatujaona mpira aliocheza yanga au maana yako ni ipi?kwahyo ikiwa hamjakaa pamoja ndio kadi nyingi zitoke kwenu,na nyekundu juu?mnacheza faulu zi
      za kipumnavu alafu unaongea ujinga hapo,hujaona kwamba mlikua mpigwe au?kwa mtindo huu mtasubiri sana,ila endeleeni kutamba nakujisifu wakati uwanjani hamna kitu.

      Delete
  6. Dah yanga yangu,sasa hiki ndio nini jamani?kadi zote za yanga,faulu zote za yanga kwanini?

    ReplyDelete
  7. Yanga wasipojirekebisha na huu mchezo wao wa kukamia na kucheza faulo zisizo na tija wataadhirika huko mbeleni; na hasa katika mashindano ya kimataifa

    ReplyDelete
  8. Mzee Mpili, mbona hukufanya vyako kunusuru mabingwa watarajiwa?

    ReplyDelete
  9. Walianza kuchoka dakika ishirini za mwanzo. Ndio mtaiweza Al Ahli kwa mtindo huo?

    ReplyDelete
  10. Ilikuwa wanuukwe si chini ya msgoli matatu

    ReplyDelete
  11. Faulu 15 kwa moja,kadi za njano kibao na nyekundu juu,poleni kwakubebwa na hongereni kwa matokeo hayo,maana hayo ndiyo matokeo yenu.

    ReplyDelete
  12. Utopolo endeleeni kujipanga Bado uwezo wenu niwakutambaa tu Bado hamjaanza utembea baadae kukimbia

    ReplyDelete
  13. Hakuna timu ya soka hapo ni judo

    ReplyDelete
  14. sasa hivi wamekutana na marefa wa kimataifa sio marefa wetu takataka ambao wakiona penati wanapeta pia wakiona faulu wanaogopa kutoa kadi.

    ReplyDelete
  15. Shida humu wengi mmebarehe Kwahiyo Ni kupoteza muda na akili ku argue nanyi,Ile Ni almost Yanga B Sasa hata chizi anaweza kukujibu,hii Ni Kama pre seoson wale Wachezaji wengi wamecheza Fainali under 20,shida mkiona jezi ya Yanga mnashika Kolodani pasiwepo na positive results,kwa taarifa yenu hata Yanga ya Wanawake nayo ingecheza kifupi tumejipanga

    ReplyDelete
  16. Na ninyi mngeweka Timu yenu ya Ilanfya mkione Cha Moto

    ReplyDelete
  17. Na huyo NINJA mnamwogopa mlijua angeachwa, bahati yenu hata Kigoma alikuwa Mgonjwa

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic