WAKATI Ligi Kuu Tanzania Bara kwa sasa ikiwa inatarajiwa kuanza Septemba 29 na Septemba 25 ukitarajiwa kuchezwa mchezo wa Ngao ya Jamii kati ya Yanga v Simba,tujikumbushe msimamo wa 2020/21
Lengo lake kuwakumbusha kwamba maneno na kutamba hakuchui ubingwa bali hard work na dedication.Wazee wa magazetini hiyo ni kumbukumbu nzuri kwenu.Talk less do more.
Huu ni zaidi ya ujinga...jiulize kilicho juu ya ujinga ni nini utapata nafasi anayostahili kuwekwa huyu mwandishi ya hii habari. Sina tatizo na kutuwekea msimamo wa ligi wa msimu uliopita,la hasha;tatizo ni kuweka nembo za timu tatu za Uingereza juu ya huo msimamo wa ligi
Hii ina umuhimu gani kuileta kama taarifa mpya? Labda mimi sijampata vizuri nini lengo lake mwandishi au ndio kuishiwa habari?
ReplyDeleteHii taarifa inatusaidia nini sisi wasomaji? Lengo lako ni nini?
ReplyDeleteLengo lake kuwakumbusha kwamba maneno na kutamba hakuchui ubingwa bali hard work na dedication.Wazee wa magazetini hiyo ni kumbukumbu nzuri kwenu.Talk less do more.
ReplyDeleteHalafu anaudhi kuweka picha ya wasio mabingwa. Sijui ana agenda gani?
ReplyDeleteHuu ni zaidi ya ujinga...jiulize kilicho juu ya ujinga ni nini utapata nafasi anayostahili kuwekwa huyu mwandishi ya hii habari.
ReplyDeleteSina tatizo na kutuwekea msimamo wa ligi wa msimu uliopita,la hasha;tatizo ni kuweka nembo za timu tatu za Uingereza juu ya huo msimamo wa ligi
Tatizo shabiki wa mikia uyo
ReplyDeleteWe mwandishi kuma sana sasa hizo nembo za hapo juu znatuhusu nn cc yan umeshindwa hata kuweka nembo ya lig kuu bara duuuu chizi sana we
ReplyDelete