August 1, 2021

 


RASMI Fiston Mayele ni mali ya Yanga ambapo ametambulishwa leo Agosti Mosi kwa mashabiki.


Mshambuliaji huyo raia wa Congo aliwasili Bongo jana na amemalizana na mabosi hao wa Yanga.


Rekodi zinaonyesha kuwa msimu wa 2020/21 akiwa AS Vita alitupia mabao 13 na pasi nne za mabao amesaini dili la miaka miwili.


Amekabidhiwa jezi namba 9 ambayo ataitumia msimu ujao wa 2021/22 Jangwani.

5 COMMENTS:

  1. Jembe letu namanyele hilo hapo rasmi, sasa mtatukoma

    ReplyDelete
  2. Jembe hilo walitaka wasitake ndilo litaloleta ubingwa wa nyumbani na kombe lilimshinda Simba

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mapinduzi cup lazima lije tena

      Delete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic