August 2, 2021


MSHAMBULIAJI wa Yanga, Wazir Junior amesema kuwa kwake ni jambo zuri kufunga kwa ajili ya timu yake ambapo alifanya hivyo jana Agosti Mosi mbele ya Big Bullets dk ya 8 kwenye sare ya kufungana bao 1-1.

Pia ameweka wazi kwamba kushiriki Kagame ni jambo kubwa hasa ukizingatia ni mashindano makubwa. Msimu huu ameweka wazi kwamba msimu ujao wanaamini watafanya vizuri.

 

2 COMMENTS:

  1. Mashindano makubwa timu inacheza leo inapumzika siku moja Kisha inacheza tena

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic