BAADA ya Simba kukamilisha usajili wa Taddeo Lwanga kwa upande wa kiungo mkabaji kuna ingizo jipya ndani ya Yanga ambaye naye ni kiungo Khalid Aucho wote hawa ni viungo kutoka nchini Uganda na kwa sasa wapo na timu zao kambini nchini Morocco.
Hizi hapa rekodi za nyota hao ambao wanachambuliwa kwa takwimu.
Hahahahahaha!!!!!!!! Kweli fani ya uandishi wa habari imevamiwa....eti "battel" badala ya "battle" Ndo maana wana habari wakongwe kama akina Masoud Masoud na Charles Hillary wakajisemea siku hizi fani ya uandishi wa habari na utangazaji ni kama choo cha bar au sokoni kila mtu anaingia na kumwaga uchafu wake bila kuulizwa
Best mfano mkali (Lugha) .Lakini vile vile zingatia watu wa zamani wanajisifia Sana ,Lakini kwangu Mimi naona wanadanganya wengine tumekuwepo kwa nyakati fulani ,zamani habari zilikuwa elekezi na kwa kusaidia hata kutangaza Mpira (soka) wameigwa wao kiasi kwamba Watangazaji wa Mpira (soka) redioni na TV hakuna tofauti kwa hapa ,kidogo tu AZAM wale vijana wanajitahidi.Mtu anatangaza Mpira cross anaita pasi Kali zaidi ukiwa unasikiliza redioni(Mpira hutazami au kuona unatarifiwa lkn briefing Ni negative na makelele) utasikia anapiga kule mala kwake fulani lkn huwezi kujua Mpira upo upande gani au sehemu ipi ya Uwanja na hii Ni toka enzi za hao wanaojiita magwiji.Lakini bahatika upate BBC inayotangaza Mpira kwa Kiingereza utadhani upo Uwanjani lkn zingatia siyo BBC Ile ya Kiswahili wale nao Kama bongo.
Hahahahahaha!!!!!!!! Kweli fani ya uandishi wa habari imevamiwa....eti "battel" badala ya "battle"
ReplyDeleteNdo maana wana habari wakongwe kama akina Masoud Masoud na Charles Hillary wakajisemea siku hizi fani ya uandishi wa habari na utangazaji ni kama choo cha bar au sokoni kila mtu anaingia na kumwaga uchafu wake bila kuulizwa

ReplyDelete