WAKATI wakiwa nchini Morocco kwa ajili maandalizi ya msimu wa 2021/22 Yanga wanatajwa kuomba mechi dhidi ya Simba ambao nao wameweka kambi nchini Morocco.
Simba haitaki kupoteza wakati wake kujipima na timu isiyo na kiwango cha kujipima nayo. Inataka timu yenye uhakika na siyo inayotaka kujionesha wao ni wababe. Matopolo wasitake kuadhiriwa ugenini na nina hakika kocha mwenye akili na ujuzi hatokubali kujitia mtegoni akajiaibisha ugenini. Hiyo September haiko mbali
Hao wanapenic wataka soko la kuuza wachezaji wao ili watakiwe kama wale wa Mnyama lakini watafeli kwa sababu kizuri chajiuza na kibaya chajitenbeza. Inawauma sana jinsi wachezaji wa Simba wanavonyanganyiwa kwa mabilioni. Watafeli
Maisha yako muandishi,, tngu nazaliwa hd leo nna miaka 45 cjawah ckia game ya kirafiki simba na yanga!! Haijawah tokea na haitatokea labda wabadilishe majina waitwe biashara utd na geita gold. Otherwise huu n uwongo wa kiwango cha Lami
Akili zenu haziwatoshi uto, kagame tu imewatoa nishai na vitimu vidogo vidogo ndo mnataka mcheze na wababe wa Alh ahly na A s vital thubutuu. Mkacheze na Singida na Toto Afrika ndo saizi yenu
Hawana jipya hao yanga, watafute saizi yao. Hizo ni mbwembwe tuu, mazoezi ya siku mbili unaomba mechi ili upime nini
ReplyDeleteHawa wamezoea kucheza rafu watatuumizia wachezaji wetu wakae nje msimu mzima, hakuna kucheza nai
ReplyDeleteWanatafuta kiki tuu. Hivi mzee mpili kasafiri na timu? Nauliza tuu
ReplyDeleteSimba haitaki kupoteza wakati wake kujipima na timu isiyo na kiwango cha kujipima nayo. Inataka timu yenye uhakika na siyo inayotaka kujionesha wao ni wababe. Matopolo wasitake kuadhiriwa ugenini na nina hakika kocha mwenye akili na ujuzi hatokubali kujitia mtegoni akajiaibisha ugenini. Hiyo September haiko mbali
ReplyDeleteHao wanapenic wataka soko la kuuza wachezaji wao ili watakiwe kama wale wa Mnyama lakini watafeli kwa sababu kizuri chajiuza na kibaya chajitenbeza. Inawauma sana jinsi wachezaji wa Simba wanavonyanganyiwa kwa mabilioni. Watafeli
ReplyDeleteMaisha yako muandishi,, tngu nazaliwa hd leo nna miaka 45 cjawah ckia game ya kirafiki simba na yanga!! Haijawah tokea na haitatokea labda wabadilishe majina waitwe biashara utd na geita gold. Otherwise huu n uwongo wa kiwango cha Lami
ReplyDeleteWanafikiri huko walipo wanawwza kufanya fujo lao la zomeazomea, matusi na kuchania watu nguo zao kama walivozowea.
ReplyDeleteHahahahahaaahaa nimecheka sana, muwaache tu wapambane tuone! Mbona kama mikia mnaogopa?
ReplyDeleteAkili zenu haziwatoshi uto, kagame tu imewatoa nishai na vitimu vidogo vidogo ndo mnataka mcheze na wababe wa Alh ahly na A s vital thubutuu. Mkacheze na Singida na Toto Afrika ndo saizi yenu
Delete