KIKOSI cha Yanga leo kimefungashiwa virago kwenye mashindano ya Kagame Cup 2021 baada ya kupoteza mbele ya Express FC.
Baada ya dakika 90 kukamilika ubao wa Uwanja wa Mkapa ulisoma Yanga 1-3 Express FC ambapo ni mabao ya Godfrey dk 14, Muzamiru dk 35 na Kambale dk 52 walipachika mabao kwa Express.
Bao pekee la Yanga limefungwa na Paul Godfrey dk 71 kwa shuti kali akiwa nje ya 18 ambalo liliamsha nguvu kwa Wananchi lakini walishindwa kupata ushindi.
Inakuwa ipo nafasi ya tatu na pointi mbili kwenye msimamo huku Express wakiwa nafasi ya kwanza na pointi 7.
Timu nyingine kutoka kundi A ambayo imetinga hatua ya nusu fainali ni Big Bullets ya Malawi ambayo ina pointi 5 kibindoni.








TFF wabaya sana, wamekutana Tanga kupanga mipango ya kuitoa yanga, daaaah, wanefanikiwa na roho zao mbaya.
ReplyDeletehalafu marefa hawakuwa fair waliipendelea sana Express
DeleteYule Juko Murshid ni mchezaji wa Simba Kama Yanga tunapinga matokeo ya mechi tutalepeleka malalamiko yetu CAS😣🤧
DeleteSasa utopolo kama ligii ya mbuzi mumechemka je la ng'ombe mutaweza?
ReplyDeleteSisi ni ya wananchi lakini mtangazaji hata mara moja haktutuita wanachi isipokuwa yanga jambo ambalo limetuvunja moyo na kutokea yaliyotokea. Timu yetu ilkuwa timu ya makombe na tulikuwa na uhakika wa mia kwa mia kombe la Kagame kuwa letu lakini tukajikuta chali na huku mikia ikishangilia. Tueumia sana na huku tukiporwa kweupe nyita ambao tumeishana nso
ReplyDeleteKuwashabikia yanga inabidi udai Hardship allowance, maana ni kazi yenye mateso.
ReplyDeleteMagoli ya offside tumekataliwa nao kumi za wazi atakuwa Haji huyu
ReplyDeleteHao si 'B' we unaona wanafanana na waliowapiga kimoko?
ReplyDeleteKikosi cha kuzowa makombe chali katika jaribio la kwananza, kimeanza na droo mbili na hata ile ya Sudab kumaliza kwa mikwaju mitatu
ReplyDeleteMna haki ya kuisema vibaya yanga Ali mo asiwakasirikie
ReplyDeleteKwani wenzako wanetumia kikodi gani, si B pia? Sema miamala kwa matefa na makandokando hamkuyatumia na mzee mpili kachoka kubeba midude
ReplyDeleteRefa kawabeba xpress kabisa leo,,, penati 5 za wazi kabisa katunyima. Tutaenda CAS na haki itapatikana tu. Marefa walinunuliwa na simba ili tufungwe
ReplyDeleteMarefa wote wa ndani na wa nje wanaichukia timu yetu. Mapendeleo ya wazi vipi tutaupata ubingwa, utaendelea kuwa wa Mikia. Hata malalamiko yetu utayakuta jaani
ReplyDeleteHii ni kengele ya warning iwaamshe yanga kuwa hawana timu nzuri wamewekeza zaidi kwenye malalamiko na kutengeneza figisu
ReplyDeleteHiyo ni timu ipi? Ndio ya kina Feisal na TK master au wachezaji wapya?
DeleteKweli wao wamewekeza zaidi katika kesi za kuonewa zilizolimbikana na hatujayaona kushinda hata moja wanaotarajia kwasababu ni upuuzi mtupu
ReplyDeleteNi fedheha kubwa kuwa timu ya nyumbani inayo jigamba timu ya kuleta mskombe iwe timu ya kwanza kutimuluwa na timu ya nje.
ReplyDeleteMsijisahaulishe ,vp ya manara na mo yameisha ,halafu ya mo na chama imekuaje
ReplyDeleteSimba tuliamua kutoshiriki mashindano haya ya Kagame ili kuwapa Utopolo nafasi ya kubeba kikombe lakini wamechemka. Bora Azam afanye kweli kuokoa jahazi kombe libakie nyumbani
ReplyDeleteTunazungumzia mechi za cecafa sio hiyo migongano ya mtu na mtu, ukitaka anzisha topic hiyo tutachangia pia
ReplyDeleteHata ile Tabara iliyofungwa na timu zote, Wananchi wametoka nayo suluhu. Hatuna timu
ReplyDeleteYanga bila kuvunja mageti na kuroga hawaendi kokote
ReplyDeleteHahahaa . Wanayanga aka wananchi mnateseka mkiwa wapi
ReplyDeleteTufahamiane mwanayanga mwenzengu unateseka ukiwa wapi. Mi natesekea Burundi baada ya kukimbia tozo
ReplyDelete