Kama vijana mliowasajili hamuwaamin basi wauzeni,timu inataka kupata muunganiko kwa ajili ya ligi kubwa ya caf champion na mechi hizi ndizo zitakazo wafanya waelewane na kujuana haswa leo nyinyi mnafanya mambo kama vile ubongo upo domant yani hamfikirii na wala hamuoni kama mnakosea,acheni mambo ya ajabu jamani simba timu kubwa vijana mliowaleta wapo sawa tunaomba wapeni nafasi na muda ndio huu.hata leo ukijaza kikosi chako ulichokikariri tunapigwa tena au suluhu

ReplyDelete