September 8, 2021


 AZAM FC wazee wa kimyakimya kwa msimu wa 2021/22 sio wanyonge kwenye upande wa uzi mpya nao wanatamba kwa uzi wao ambao kwa sasa upo madukani ukipatikana kwa mashabiki wanaohitaji uzi matata.

Tayari kikosi hicho kinachonolewa na Kocha Mkuu, George Lwandamina kimerejea Bongo kwa ajili ya maandalizi ya mechi zao zijazo.

Huu hapa muonekano wa uzi wao mpya msimu wa 2021/22


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic