Jana Stars iliibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Madagascar ni katika kipindi cha kwanza ambapo Stars walianza kufunga mabao mawili yote yalirudishwa mpaka walipokuja kupata bao la ushindi kipindi cha pili.
Kuhusu kutokuwepo mashabiki kutokana na janga la Corona Kapombe ameomba Shirikisho la Soka Tanzania, (TFF) kuweza kushughulikia hilo suala kwa kuwa mashindano ya kuwania kufuzu Kombe la Dunia ni makubwa na ni muhimu.







0 COMMENTS:
Post a Comment