LEO Septemba 13 zoezi la kumuaga Zacharia Hanspope limefanyika ambapo viongozi wa Simba,Yanga pamoja na viongozi wa Serikali bila kusahau mashabiki wa masuala ya mpira walijitokeza kutoa heshima ilikuwa ni katika ukumbi wa Karimjee, pumzika kwa amani kiongozi
R.I.P Jembe letu. Umeondoka kipindi ambacho tunakuhitaji sana
ReplyDelete