September 28, 2021


HAJI Manara, Ofisa Habari wa Yanga amebainisha kuwa hana tatizo na kufanya kazi na mtu yoyote ndani ya Yanga ila jambo kubwa liwe kwa ajili ya maslahi ya Yanga.

 Ameweka wazi kuwa alikuwa anapenda kufanya kazi na kila mtu aliyemkuta ndani ya Yanga hivyo hahusiki na kuondoka kwa mtu ikiwa ni pamoja na Antonio Nugaz ambaye alikuwa ni Ofisa Uhamasishaji kabla ya mkataba wake kuisha na ulipoisha hakuongezewa dili jipya.

 Manara amesema kuwa yupo tayari kufanya kazi na mtu yoyote hana tatizo. 

 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic