September 7, 2021

TIMU ya taifa ya Tanzania leo Septemba 7 ilikuwa na kibarua cha kusaka ushindi mbele ya Madagascar kwenye mchezo wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia. Baada ya dakika 90, Stars imeibuka kwa ushindi wa mabao 3-2 mbele ya Madagascar.

 Nje ya lango la kuingia lile kuu pale uwanjani kulikuwa na ulinzi wa kutosha huku askari wakiwa kazini na walikuwa na varangati la kimtindo na baadhi ya mashabiki ambao walikuwa wanahitaji kuingia. 

Mchezo wa leo haukuruhusu mashabiki kutokana na kuchukua tahadhari dhidi ya Corona.

 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic