September 20, 2021

KUPOTEZA kwa Simba kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya TP Mazembe jana Uwanja wa Mkapa kwenye tamasha la Simba Day, shabiki wa Yanga ameweka wazi kuwa kufungwa kwao ni uzembe wao kwa kuwa walipata muda mwingi wa kujiandaa tofauti na TP Mazembe.

 Pia ameweka wazi pia timu ya Yanga kutolewa katika hatua ya awali ya Ligi ya mabingwa Afrika ni jambo ambalo linawaumiza ila inabidi wajipange.

 

5 COMMENTS:

  1. Huyu ni mpuuzi, anajifariji kwa yanga kuondoshwa kwa aibu mashindanoni kwa kuwa simba kafungea na mazembe? Kuna tofauti mbili kubwa kati mechi hizi mbili. Kwanza mazembe ni timu kubwa kuliko hoyo river, pili mechi ya simba ni bonanza tuu wakati ya yanga inamtoa kwenye mbio za ubingwa jumla jumla.

    ReplyDelete
  2. Kilichowaangusha Yanga ni maandalizi hafifu, hiyo inajulikana. Makoro wamezeekea kambini bado kwa Mkapa kipondo na timu B ya Mazembe na kushanguliwa kote kule..hahaha

    ReplyDelete
  3. kama kawaida utopolo anaacha kuzungumzia timu yake inayotia aibu na visit Kilimanjaro anadandia mambo ya Simba

    ReplyDelete
  4. Yanga mmeleta aibu kuondoshwa hatua ya kwanza hata ligi kuu haijaanza. Hamuoni aibu ya kusema maandalizi hafifu? hamkuwa na pesa za maandalizi au mna viongozi wabovu?

    ReplyDelete
  5. Aliyekuambia hiyo no timu B ya mazembe ni nani, kamwuulize tena, timu A iko wapi?

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic